Kwa mujibu matokeo hayo, asilimia tatu nukta sifuri tisa ya wapiga kura walioshiriki kwenye kura hiyo ya maoni, ndio waliyopinga mabadiliko hayo. Kuhusu walioshiriki zoezi hilo, Mahakama hiyo imesema ...
Wiki mbili zilizopita Mali iliomba ikisisitiza, MINUSMA kufungasha virago "bila kuchelewa". Lakini masharti na muda wa kuondoka kwa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Mali ni suala ambalo litagubika ...
Jeshi la Polisi limetangaza kuwasaka vigogo nane wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wengine wawili kwa tuhuma ...